Timothy Marko.
KATIKA
kuhakikisha kuwa swala lakuwa jengea uwezo katika elimu linapewa kipaumbele taasisi isiyo
yakiserikali ina yohusiana namchezo wa riadha nchini(The Rotary Dar Marthon )ikishirikiana
na benki ya Bank M Tanzania limited imedhamini mbio fupi za mita 400, ilikuweza
kuwasaidia wanafunzi wenyeulemavu wanaosoma katika chuo kikuu cha Dar es salaam
Tasisi hiyo isiyo yakiserikali nchini imetoa msaada wa computer themanini
natano ambazo zina gharimu shilingi milioni700.
Akizungumza
jijini leo na waandishi wa habari mkurugenzi wa benki hiyo ya M Nimrod Mkono
amesema kuwa benki hiyo imedhamilia kuisaidia jamii ikiwemo kuanzisha miradi
mbalimbali ikiemo inayohusu elimu katika chuo kikuu cha Dar es salaam hususan
kitengo cha mawasiliano kilichopo chuoni hapo.
‘’ Tunataka
kuhakikisha kuwa chuo kikuu cha Dar es salaam kitivo cha mawasiliano
kinaimarika katika mafunzo ilkuweza kuisaidia jamii nazaidi yawanafunzi 1500
wanaosoma chuoni hapa na kukiwezesha chuo hiki kuzalisha kizazi bora hapo
badaye’’Alisema Nibrod Mkono.
Katika hatua
nyingine Mwenyekiti wa taasisi ya The Rotary Dar Marthon Vikash Shah amesema
kuwa kampuni hiyo imekuwa ikizidi kukua siku hadisiku ilkuweza kuleta tofauti
na makampuni mengine nchini nakusaisitiza kuwa kampuni hiyo inawahimiza
wafanyakazi wake na wakimbiaji wapatao 10,000 ilikuwezesha kupata shilingi
milioni 500 ilikuleta ushindani .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni