Ijumaa, 18 Julai 2014

KITUO CHA KULELEA YATIMA CHA NEW HOPE WAOMBA KUKUTANA NA RAIS JAKAYA KIKWETE .

Timothy Marko.
KITUO  cha kulelea watoto yatima cha New Hope kilichopo kigamboni jijini Dar es salaam ,Kimemuomba Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete na Mkurugenzi wa makapuni ya IPP REGINAL MENGI naviongozi wadini kukutana kwa Dharula ili kuweza kujadiliana  nakuzitolea ufumbuzi wa changamoto wanazokumbana watu waliokatika makundi maalumu ikiwemo uhaba wa vifaa vinavyotumika katika kuendeshea kituo hicho ikiwemo uhaba wa vyandarua .
Akizungumza jijini jana ,Kiongozi wakituo hicho cha New Hop AZIZ Mchele alisema  katika kituo hicho kina kosefu wavyandarua takribani 120 haliinayopelekea watotowakituo hicho kukumbwa na maradhi mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa maralia nakupunguza kasi ya kufanya shughuli mbalimbali ikiwemo kukosa masomo .
‘’Kituo chetu cha New Hope kinakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa vyandarua takribani 120 hali inayopelekea baadhi ya watoto wa kituo hiki kutoweza kukidhi mahitaji kwani mbaka sasa tunajumla ya watoto ambao ni yatima mia moja sabini nambili 172’’Alisema   Aziz Mchele.
Mchele alisema kuwa pamoja nakukabiliwa nachangamoto ya  vyandarua hivyo pia kituo hicho kina kabiliwa na upungufu wa mashuka yapatayo120 pia nauhaba wa nyumbamoja yamwalimu ambao ni   walezi katika kituo hicho.
Alisema kuwa Kituo hicho kinaukosefu wajumla yavitanda sitini (60)ambavyo ni vyajuu na vya chini hali inayopelekea watoto hao kukosa sehemu yamalazi .
‘’mbali nachangamoto hizo pia Kituon hiki cha New hope pia kina kabiliwa na ukosefu wa uzio hali inayopelekea usalama wa kitu hiki kuwa mdogo ‘’aliongeza Mkuu wa kituo cha New hope Aziz mchele.
Katika hatua nyingine msemaji wakituo hicho cha New hope Frola mbaga amewataka jamii kumuuenzi Rais Mandela kwa kuwajali yatima kwani kiongozi huyo ambaye jana ilkuwa siku yake yakuazimisha kifo chake aliwajali watoto yatima nakuwapa mstari wambele katika kuwasaidia watoto yatima.
Frola Mbaga alisema kituo hicho kinamshukuru Rais JAKAYA KIKWETE kwa kuweza kukisadia kituo hicho na kuomba wadau mbalimbali waweze kujitokeza ilikuweza kukisadia kituo hicho .
‘’Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Rais wa Jamuhuri ya muungano Wa Tanzania ndugu JAKAYA KIKWETE kuweza kukisaidia kituohiki Pia napenda kuwashukurusana nyinyi waandishi Wa habari kwakuja kututembelea ila nanawaomba mtumie kalamu zenu katika kumkomboa mtoto wakike ‘’Alisema Frola Mbaga .
Mbaga alisema kuwa mtoto wakikike amekuwa akinyanyaswa ikiwemo kufanyiwa vitendo vyakikatili hiyo nijukumu la waandishi wa wahabari kuyafichua maovu wanayofanyiwa watoto wakike.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni