Timothy Marko.
JAJI mkuu wa mahakama nchini ,Othuman Chade amevitaka vyama vinayounda umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA )kurudi bungeni ilkuweza kufanya maridhiano ya mchakato wa katiba na kuondoa tofauti zao zakisiasa.
Akizungumza jijijini na waandishi wa habari leo, Jaji othuman Chande amesema kuwa nivema wajumbe wa naounda umoja wakatiba yawananchi nchini (UKAWA)kufanya makubaliano na chama cha mapinduzi (CCM)ilkuwezesha mchakato wakatibampya kumalizika kwa amani nakuweza kupiga hatua pasikuwa na migongano baina ya vyama hivyo na chama tawala (CCM).
‘’Mimi nawahusia watanzania hususan wajumbe wabunge la katiba waweze kukubaliana na chama cha mapinduzi(CCM)waondoe tofautizao nakupiga hatua nakuzidi kujitafakarikusiana na katiba mpya’’alisema Jaji Othuman Chande.
Jaji Chande alisema kuwa katika kuuwezesha mchakato wakatiba mpya kwenda sawia nilazima wajumbe wabungehilo kujitafakari kwa upya na kuondoa itikadizao ilkuweza kukamilisha mchakato wa katiba mpya unaoendelea nchini .
Katika hatua nyingine jaji mkuu Othuman Chande amewataka watendaji wamahakama nchini kufanya kazi zao kwakuzingatia weledi wa kazi zao hususan kufuata misingi bora ya sheria .
Kuhusiana nauteuzi wamajaji Jaji mkuu Chande amesema kuwa uteuzi huo hautaweza kutangazwa kwa kwenye magazeti hii nikutokana natatibu za sheria hairusu uteuzi huo wa majaji hao kutangazwa kwenye magazeti.
Kwaupande wake jaji mkuu wa mahakama ya Uganda James Ogola amewataka wabunge wanaounda umoja wakatiba ya wananchi kurudi bungeni nakuondoa tofautizao kando nakuwa wavumilivu .
‘’Nawatakia mchakato mwema wakutunga katiba yenu lakini nawaasa wajumbe wa naunda umoja wakatiba ya wananchi kurudi bungeni nakuondoa tofauti zao nakuwa wavumilivu’’Alisema Ogola.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni