Timothy Marko
Wabunge wa jumuhia ya afrika mashariki nchini wamechukizwa nakile walichokiita kutupiliwa mbali kwa hoja wanazitoa katika bunge lajumumuhia hiyo na katibu wa bunge hilo Makongoziwa hali iliyo pelekea wabunge hao kusuia mkutano wabunge la afrika mashariki.
Wakizungumza jijini leo Baadhi yawabunge hao kwenye ukumbi waidara ya maelezo wabunge hao wamedaikuwa wabunge hao wamedaiwa kutoa hoja zisizo na mashiko katika jumuhia hiyo ya afrika mashariki.
‘’tumekuwa tukibaguliwa na katibu makongoziwa kwamadai hoja zetu hazina mashiko hali iliyopelekea kutoka nje yaukumbi wabunge ‘’alisema shyrose Banji.
Shyrose alisema kuwa katika tathimini iliyofanywa kuwa baadhi ya hoja ambazo zinadaiwa kuwa zina mapungufu makubwa kuwa hojahizo hazina mashiko nakuwa ukizitazama kuiundani niza kutenge’nezwa.
Alisema kuwa kama wabunge wakutoka nchi yatanzania nilazim a kuktetea hoja zenye maslahi natanzania nakuzipinga hoja ambazo zinaonekana kuwa niaendana kinyume na maslahi ya nchi ya Tanzania.
‘’sisi kama wa Tanzania tunatetea maslahi ya watanzania nakuweka utaifa mbele ilifika mahali mambo yaliandikwa kwenye magazeti nayinyi wenywe waandishi wahabari kama sisi binadamu tuligundua kuwa kuna agenda yasiri hii nikutokana namchezo mchafu wakutokana nahoja zisizo natija hatu wezi kuweka mbele agenda zisizo natija ‘’Alisema Shyrose Banji.
Aliongeza kuwa msimamo wawabunge hao nikusimamia afya bora bara rabara bora nakusisitiza kuwepo kwa ajenda hiyo nikatika ukuteleza maslahi bora ya wananchi .
Wabunge wajumuhia ya Afrika wansimamia afya bora ,na bara bara bora na njia za kuendeza hojahizo kwajili ya maslahi yanchi wanachama nasi vinginevyo.
‘’wabunge wa EAR wanasimamia afya bora bara bara bora njia pekee yakuendeleza hili nikutoa hoja mambazo zitaweza kulisaidia swalahili liweze kufanyika’’Aliongeza.
Katika hatua nyingine Mbunge wa Afrika mashariki Adamu kimbisa amesema kuwa swala lakumuondoa spika niswala zito linahitaji hatua ndefu kidogo .
Mbunge Adamu kimbisa alisema kuwa mchakato huo nilazima uanze nasahihi za wabunge zipatazo nne kutoka kwa nchiwanachama nakupelekwa na kupelekwa kwa katibu wa bunge.
‘’hoja hii yakumuondoa sipika ilitokea kwa mbunge aliyetokea Kenya lakini tuliweza kuzipata saini hizo lakini mtoa hoja ambaye ni peter maduki alitoa hoja yakuikata hoja hiyo na ndipo kukatokea malumbano ‘’Alisema Adamu kimbisa .
Alisema, kwenye kamati kulikuwa nawabunge wapatao 15 ambapo wabunge 13 walitiasaini naikabainika wabunge wawili hawakkutia saini ndipo ikatokea malumbano.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni