Timothy Marko.
Maafisa habari wa taasisi zakiserikali nchini wametakiwa kufanyakazi kwakuzingatia weledi katika utowaji wa taarifa ikiwemo kutoa taarifa hizo kwa wakati pindi zinapohitajika nabaadhi ya taasisi yinginezo ikiwemo vyombo vya habari.
Akizungumza jijni leo, kwenye kongamano la mafunzo kwa maafisa habari katika kuwajengea uwezo maafisa habari hao wa kiserikali katibu mkuu wa wizara ya habari vijana namichezo Siaba Mkinga amesema kuwamaafisa habari kwenye tasisi zakiserikali wanajukumu lakuisemea serikali pamoja na taasisi zinazomilikiwa naserikali.
‘’Jukumu la afisa habari nikusema natasisi lakini kumekuwa na baadhi ya wasemaji waserikali wamekuwa sio wepesi katika kuisemea serikali jambo lakushangaza nikwanini mafisa habari wa serikali wamekuwa si wepesi wakusema kwa wakati’’Alisema Siaba Mkinga.
Siaba Mkinga alisema kuwa hivi karibuni nchi yetu itakkuwa katika mchakato wauchaguzi nakuhojikuwa je nimikakati gani waliyonayo katika kuwezesha wananchi wanapata taarifa zilizo sahihi kutoka kwenye taasisi hizo zinazomilikiwa na serikali.
Alisema kuwa hivi karibuni kutakuwa namatukio makubwa ambayo wananchi awalipaswakufamu maswala mambalimbali yahusuyo serikali nakuwakumbushakuwa watasema nini pindi wanapohitajika kutoa taarifa kwa wananchi.
‘’nchi yetu inaelekea kwenye matukio makubwa je mmepanga kusemanini ‘’alisema katibu mkuu wawizara yahabari.
Katika hatua nyingine wakala wa serikali mtandao (EGA)Rainer Budodi amesema kuwa mafunzo yaliyotolewa kwa wasemaji waserikali yataweza kuwajenga ilikuweza kutoa tarifa hizo kwa weledi.
‘’Mafunzo haya yanania kutujengea uwezo ilikuweza kutimiza majukumu yetu ipasavyo hivyo hatuna budikuziboresha taarifa zetu iliziweze kuwa natija kwa wananchi’’alisema Budodi.
Makamu Mwenyekiti wa taasisi zakiserikali TAGCO Silvia Lubembe amesema kuwa wamewekamikakati katikakuisemea kwa taasisi zinazomikiwa naserikali .
Silivia lubembe amesemakuwa katibu mkuu ametoa rai juu ya wasemaji wataasisi za serikali katika kufanya kazi kwa weledi katika kutoa huduma kwa wananchi.
‘’katibu mkuu ametuasa kufanya kazi kwaweledi kutumia mafunzo haya katika kutoa huduma’’Alisema Lubembe.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni