Jumanne, 17 Juni 2014

KIWANGO CHA UFAULU KIDATO CHA NNE CHA ONGEZEKA

Timothy Marko .
Uchaguzi  wa wanafunzi  wakuingia  kidato cha  tano umekamilika katika shule za serikali pamoja nazile za binafsi umekamilika kwa mwaka huu ambapo uchaguzi huo umefanyika kwa kuzingatia  takwimu za matokeo ya watahiniwa  walifanya mtihani huo wa kidato cha nne Tanzania bara mwaka jana .
Akizungumza na waandishi wahabari jijini leo ,Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi Kassimu Majaliwa amesema kuwa jumla ya  watahiniwa 427,679 waliosajiliwa kufanya mtihani wakidato cha nne mwaka jana wakiwemo wasichana 199,123ambao ni sawa na asilimia 46.5 na wavulana 228,556 ambao ni sawa na asilimia 53.44 kati ya watahiniwa hao ni watahiniwa 404,083tu ambao  walifanya mtihani ambao nisawa naasilimia 94.48 ambapo watahiniwa 23,596 sawa na asilimia 5.52 ambao hawakufanya mtihani huo .
‘’kwa watahiniwa ambao ni washule jumla ya wanafunzi 367,167walisaj iliwa kufanya mtihani ambapo kati yao wavulana walikuwa 198,099 wakati wasichana walikuwa 169,064 jumla yawatahiniwa wote walikuwa 352,614 sawa nasilimia96.04 walifanya mtihani ambapo watahiniwa 23,596 sawa na asilimia 5.52 hawakufanya mtihani wa kidato channe’’Alisema Naibu waziri Kassimu Majaliwa .
Naibu waziri wa elimu  Kasimu Majaliwa alisema kuwa watahiniwa wa shule 367,163 walisajiliwa kufanya mtihani ambapo kati yao wavulana 198,099 ambapo wasichana jumla yao 169 ,064 jumla ya wahininiwa 352,614 sawa na asilimia 96.04 walifanya mtihani huo ,kati yao wasichana 162,412 sawa na asilimia 96.04 wakati wavulana 190,202 waliofanya mtihani huo walikuwa ni asilimia 96.01 yawatahiniwa 14,549 hawakufanya mtihani ambao ni asilimia 3.96 wakiwa na sababu mbalimbali.
Alisema kuwa kwa watahiniwa wakujitegemea 60,516 waliosajiliwa kufanya mtihani huo watahiniwa 51,469 sawa na asilimia 85.05 walifanya mtihani wakati 9,047ya watahiniwa hawakufanya mtihani ambao nisawa na asilimia 14.95 hawakufanya mtihani kwa sababu mbalimbali.
Akizungumzia hali yakufaulu Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi kasimu Majaliwa alisema jumla yawatahiniwa 2357 walio fanya mtihani huo ambao nisawa nasilimia 58.7 walifaulu mwaka jana ambapo katika kipindi cha mwaka2012 watahiniwa waliofauluwa walikuwa 185,940kati ya 431 ,650 sawa na 43.08 asilimia ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 15.13
Aidha kwa upande wa wathiniwa washule Naibu waziri alisema waliofaulu ni 201,152 ambapo sawa na asilimia 57.05 kwa mwaka jana zaidi ya 41,405 sawa nasilimia25.91 katika mwaka 2012 ambapo jumla ya wahiniwa 159,747   walifaulu .
Wakati kiwango chaufaulu kwatahiniwa binafsi kumekuwa naongezeko la ufaulu kutoka 26,193 ambapo nisawa na asilimia 43.07 kwa kipindi cha mwaka2012 hadi kufikia watahiniwa 34,075 sawa nasilimia 66.21 kwa mwaka jana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni