Timothy Marko.
SERIKALI imebuni njia madhubuti za kuimarisha uchumi nakuongeza mapato yake kwa kurasmisha sekta isiyo rasmi kwa kuimarisha sekta ndogo ilikuweza kuchangia pato lataifa nakukuza chumi ikiwemo katika kurasmisha biashara ndogondogo katika kuimarisha uchumi.
Akizungumza jijini leo na waandishi wahabari katibu wawizara yafedha Sivenus Likwelile amesemakuwa sekta hiyo isiyorasmi sikubwa lakini imekuwa ikiajiri watu wengi ikilinganishwa na sekta iliyo rasmi ambapo zaidi ya asilimia 40 ya pato lataifa hutokana nasekta isiyo rasmi.
‘’zaidi ya asilmia 40ya pato lataifa hupatikana kutokana nasekta isiyo rasmi ambapo inakaririwa zaidi ya SMES million tatu nanusu huajiri watu wengi lakini pamoja nakuwa faida serikali haina uwezo wakufanya kazi pekeyake ndio manana inashirikiana mashirika mengine katika kuchangia sekta hiyo’’alisema Sivenus Likwalile.
Likwalile alisema kuwa moja ya mashirika yaliyoonesha ushirikiana na serikali nipamoja na Investment Climate Facility for Africa (icf)Shilika ambalo hufanya utafiti na vyuo vikuu vya afrika kusini ambapo ripoti yake inakuja hivi karibuni.
Alisema zaidi SMESmilioni moja zinatarajiwa kuboresha sekta yabiashara ikiwemo utoajiwa mafunzo yabishara nakupanua masoko nauimashwaji wasekta za kibenki nataasisi nyinginezo za fedha .
‘’serikali inawahimiza BRELA pamoja na TRA wasiwe navikwazo bali wawasaidie kuingia katika sekta rasmi kurasmisha SMES milioni moja nihela nyingi pia zipo gharamakubwa katika kuendesha mafunzo naufuatiliaji wamatokeo yake’’alisema likwalile.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni