Jumatatu, 5 Mei 2014

ONGEZENI NJIA ZA UKUSANYAJI MAPATO ILI KUFIKIA MATOKEO MAKUBWA SASA

Timothy  Marko
 Manispaa ya ilala  jijini  Dar es salaam imebuni njia za kuongeza mapato katika  eneo la manispaaa  hiyo ikiwemo kuboresha utozaji wa kodi za majengo ilikukuza huduma zilitolewazo katika manispaa hiyo.
Akizungumza leo jijini katika mkutano wa madiwani wa manispaa hiyo ya ilala mkuu wa wilaya ya ilala Raimond  Mushi amesema kuwa lengo hilo lakukusanya kodi za majengo ni moja ya mikakati yakufikia matokeo makubwa sasa Big result Now(BRN).
‘’Takwimu zinaonesha kuwa njia za ukusanyaji mapato haziridhishi hivyo tunahitaji kuongeza njia za kusanyaji  mapato  ilikuendana nakasi iliyopoo ilikuweza kufikia matokeo makubwa sasa’’alisema Raimond Mushi.
Mkuu wa manispaa ya ilala  Raimond mushi alisema fedha nyingi zinazopatikana katika manispaa hiyo  nikutokana nafedha za waahisani pamoja na zile za wafadhili wa kutoka nje pamoja nazile zinazotoka  serikalini .
Alisema kuwa alipokuwa akitembelea katika kata ya ukonga kata hiyo imeweza kubuni vyanzo mbalimbali  ikiwemo kuboresha kodi za majengo katika kata hiyo na vyanzo viginevyo visivyotokana na kodi za majengo.
Afisa msafirishaji wa manispaa hiyo Jonhson Kabalishega alisema utakelezaji katika maeneombalimbali umelenga kuboresha maeneo saba katika  halimashauri  hiyo ya ilala .
Jonhson kalibashega alisema kuwa katika kutekelezaji wa maeneo saba  kila mwananchi wa manispaa hiyo aweze kuhusika mojakwamoja katika kuboresha usafi katika eneo lake na kuweza kupunguza taka  katika eneo lake  ilikupunguza  taka hatarishi .
‘’Kila mwanananchi wa manispaa yailala anachangamoto ya usafi katika eneo lake hivyo niniona kila mwananchi aboreshe eneo lake kwa kufanya usafi hali itakayoweza kupunguza kero ya mrundikano wataka  hatarishi’’alisema Jonhson kabashengha
Alisema katika kuzingatia katika hali yausafi katika eneo hilo  jambo lakuboresha miundo mbinu ya maji taka sio jambo lakutofumbiwa macho .
Aliongeza kuwa ukusanyaji wa taka lazima ufikie lengo ambapo lazima ufikie wastani watani 401 ambapo alitaja chanzo chakuzalishwa kwa taka nyingi nikuwepo kwa dampo kubwa alisisitza kuwa katika kipindi cha mwezi January  hadi sasa zaidi ya tani 154zimezolewa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni