Uongozi wa juu wa Chama Cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Handeni Mkoani Tanga umekihama Chama hicho wakiongozwa na Mwenyekiti wa Wilaya na Katibu wake pamoja na wanachama 380 ambao wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Viongozi wa CCM wamedai kadiri siku zinavyokwenda Chadema kitazidi kusambaratika kutokana na baadhi ya viongozi wake kukumbatia madaraka huku wengine wakiachwa kuwa wapiga debe
Endelea kusoma zaidi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni